المدة الزمنية 4:54

BREAKING: POLEPOLE AVAMIWA NYUMBANI KWAKE NA WATU WASIOJULIKANA..

بواسطة Global TV Online
32 604 مشاهدة
0
182
تم نشره في 2021/12/13

#BREAKING: POLEPOLE AVAMIWA NYUMBANI KWAKE NA WATU WASIOJULIKANA.. Watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwa Mbunge wa CCM, Humphrey Polepole jijini Dodoma leo wakati yeye akiwa safarini mkoani Manyara. Kupitia clip ya video aliyoirekodi mara baada ya kufika nyumbani kwake, amesema watu hao wamevunja mlango, kupekua sebureni na chumbani na maeneo mengine ya nyumba hiyo huku TV yake ikiibiwa. Hajaeleza iwapo kuna vitu vingine na vya thamani gani ambavyo aidha vimeibiwa ama kuharibiwa ingawa amesema tukio hilo anakwenda kuripoti kituo cha polisi mara moja huku akisema “waliomfanyia hivyo Mungu atamlipa”. Haya yanajiri ikiwa ni siku moja tu tangu Katibu Mwenezi mstaafu huyo wa CCM kudai kuwa mara baada ya kuanzisha mafunzo ya Darasa la Uongozi amekuwa akipigiwa simu na watu (hakuwataja majina) wakimtaka aache mara moja na yeye kusema hatoacha nadala yake ataendelea kutoa mafunzo kwani ahadi za chama chake zinamruhusu kufanya hivyo. Polepole aliongeza pia kuwa ameitwa katika kamati ya maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kwenda kujibu tuhuma zinazomkabili kuhusu maudhui anayotoa ambapo atafika kesho Jumatatu. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 170