المدة الزمنية 3:39

Mambo ni Moto. Magufuli amwaga mabilioni kwa wakulima wa korosho. Kuanza kulipwa Julai 20.

بواسطة Focus News Tanzania
78 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2020/07/19

Nchini Tanzania serikali ya nchi hiyo, imesema imetoa shilingi bilioni 20 kwa ajili ya kulipa madeni ya wakulima wa korosho, wasafirishaji, wapuliziaji dawa na waendesha maghala ya zao hilo. Hatua hiyo ya serikali ya Tanzania kulipa madedi ya wakulima na wadau wa zao la korosho, imekuja kufuatia uhakiki uliofanywa kwa wakulima wa Kibiti, Rufiji, Mkuranga, Ruangwa, Liwale, Lindi, Tunduru na wilaya zote za mkoa wa Mtwara baada ya kubaini kuwa, wakulima na watoa huduma wote walikuwa wakidai zaidi ya sh. bilioni 23 hali iliyokuwa ikiwafanya wakulima wa zao hilo kuvunjika moyo na kukata tamaa kuendelea na shughuli za ulimaji wa zao hilo. Subscribe channel yetu ya Focus News kwa kubonyeza mandishi yaliyoandikwa Subscribe katika simu yako kisha bonyeza alama ya kengele ili uwe wa kwanza kupata habari kemkem. /watch/gLnTNcf-YBB-T

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0