المدة الزمنية 2:19

MSIMAMO WA TFF KUHUSU MABADILIKO YA MFUMO WA UENDESHAJI YANGA

بواسطة LIGI KUU TV
684 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/06/27

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wilfred Kidao amesema Shirikisho hilo ni waumini wakubwa wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu zote ikiwemo Yanga. Kidao ameyazungumza hayo alipopata nafasi ya kutoa salamu kwenye mkutano mkuu wa klabu ya Yanga uliofanyika leo Juni 27, jijini Dar es Salaam #TFF#Mabadiliko#Yanga

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0