المدة الزمنية 5:21

Ali Mukhwana - Unastahili (sms SKIZA to 811)

بواسطة Ali Mukhwana
218 682 مشاهدة
0
1.2 K
تم نشره في 2020/07/02

Worship minister on a mission to bring souls to Jesus Christ through music. For bookings contact me through this email alimukhwana@gmail.com or call +254101024624 To get this song as your ring back tone sms SKIZA 7637890 to 811 Download 'Unastahili' audio here: https://mdundo.com/song/1622340� �  Follow Ali Mukhwana: https://www.facebook.com/MukhwanaA https://twitter.com/alimukhwana https://instagram.com/alimukhwana http://www.alimukhwana.com Playlist Best of Ali Mukhwana: /playlist/PLYZ4WzQc1j43voaUr37VSP0irm1pv_Uv3 Subscribe for more: /c/alimukhwana LYRICS Mwenye Enzi Ni weeh ni Wewe ×2 Unaetawala Duniani ni weeh ni Wewe Muumba Mbingu na inchi Ni weeh ni Wewe Unastahili Bwana Eeeh Unastahili Yesu Unastahili kuabudiwa Unastahili ×2 Kwa mapigo yako Yesu nimeona Mwanga kwa mateso yako Yesu Mimi nimepona ulifanyika maskini ili niwe tajiri Ulidhihakiwa mbele ya watu ili nione Mbingu mikuki Bwana ukachomwa ili nikombolewee Mwishoe Baba haukuhukumu yeyote uliwasamehe wote Unastahili Bwana eeeh Unastahili Bwana eeeh Unastahili Yesu Unastahili kuabudiwa Unastahili ×2 Nikitazama Duniani wengi wamekufa nami niko hai Hilo nidhitisho tosha wanipenda matendo yako Bwana yapita ufahamu Wangu Bwana wangu weeeh Unastahili eeeh Usikiye na kuomba kwangu kilio changu kikufikie nchi imeshiba mazao ya kazi zako Bwana Unastahili eeeh Unastahili Bwana eeeh Unastahili Yesu Unastahili kuabudiwa Unastahili ×2 WEWE NDIWE MUNGU MKUU MUUMBA MBINGU NA NCHI UNAISHI NDANI YANGU Unaishi ndani yangu Bwana ×4 (C) 2020 Ali Mukhwana #AliMukhwana #Unastahili

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 187