المدة الزمنية 19:32

Highlights: Yanga vs Kagera Sugar (2-1) - Robo fainali ASFC

بواسطة Azam TV
79 440 مشاهدة
0
296
تم نشره في 2020/06/30

Vijana wa Jangwani Yanga SC wamefanikiwa kutinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar, kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Yanga yamefungwa na David Molinga pamoja na Deus Kaseke kwa mkwaju wa penati ambayo hata hivyo imezua utata. Pia Kiungo wa Kagera Sugar amejikuta akitolewa kwa kadi nyekundu. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 88