المدة الزمنية 2:2

Mbunge CHADEMA amuangukia Rais Magufuli, kisa CCM

بواسطة Azam TV
22 967 مشاهدة
0
87
تم نشره في 2018/04/27

Mbunge wa Babati Mjini Pauline Gekul amemuomba Rais Magufuli kuingilia kati sakata la Stendi ya Mabasi ya halmashauri yao iliyochukuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuinyima halmashauri mapato. Ni wakati wa uzinduzi wa barabara ya Kondoa - Babati uliofanyika leo, mjini Kondoa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 13