المدة الزمنية 5:29

UKALI WA WAITARA KWA WALIOSEMA UJENZI UMEKWAMA KIMARA-KIBAHA GAZETI KAMA HILO LIKIFUNGIWA KESHO

بواسطة Millard Ayo
16 406 مشاهدة
0
89
تم نشره في 2021/10/02

Serikali imewataka waandishi wa habari nchini kuzingatia misingi ya taaluma ya uandishi wa habari pindi wanapotekeleza majukumu yao pasipo kuleta taharuki kwa jamii na Taifa. Aidha, waandishi hao wameaswa kupata taarifa sahihi hasa za miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na Serikali kupitia vyanzo sahihi. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, ameyasema hayo leo wakati akikagua maendeleo ya mradi wa upanuzi wa barabara ya Morogoro (Kimara - Kibaha) km 19.2 kuwa njia nane ambao ujenzi wake umefikia asilimia 94 na kubakiza kazi ndogondogo ambazo zinatarajiwa kumalizika  mwisho wa mwezi Disemba, 2021.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 70