المدة الزمنية 20:59

Fahamu kuhusu Kilimo Bora cha Mipapai.

بواسطة UGA TV
253 مشاهدة
0
3
تم نشره في 2021/10/01

#UGATvFurafaYako Utekelezaji wa mradi wa viungo mboga na Matunda Zanzibar, unaotekelezwa na Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ), People's Development Forum (PDF) na Community Forests Pemba (CFP) kwa ufadhili wa Umoja wa ULAYA (EU) umepamba moto. Ikiwa ni katika kipindi cha mwaka wa pili wa utekelezaji wake, tayari mwelekeo wa mafanikio ya mradi huu unaolenga kufungua fursa za masoko na kuongeza myororo wa thamani ya mazao hayo umeanza kuonekana kwa miongoni mwa wakulima wanufaika. Wiki hii MAKALA ya SHAMBA KWA SHAMBA katika kuhakikisha inafuatilia na kukusogezea maendeleo ya utekelezaji wa mradi huu imefunga safari na kuweka kambi katika kikundi cha MAISHA NI MBINU kilichopo Shehia ya Wambaa, Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba. Ambapo nimekutana na Mkulima SALIM ISSA ambaye nitazungumza naye kwa kina ili kufahamu kuhusu maendeleo na mafanikio ya mradi huu katika shehia hii. dereva wako ni mimi GASPARY CHARLES.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0