المدة الزمنية 3:37

Polisi wafanikiwa kuwakamata watu wawili wanaosadikiwa ni majambazi.

بواسطة ITV Tanzania
100 421 مشاهدة
0
169
تم نشره في 2014/03/12

Tukio hilo limevuta hisia za watu wengi katika kituo kikuu cha mabasi cha Ubungo jijini dar es salaam baada ya jeshi la polisi kupata taarifa kutoka kwa samaria wema na kuweka mtego na kisha kufanikiwa kuwakamata watu hao wawili wakiwa na bunduki moja aina ya smg yenye magazine mbili pamoja na risasi 148.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 14