المدة الزمنية 3:2

ULIKOSA TigoSabasaba2020 HII NI KALI ZAIDI NA UTAIPENDA ZAIDI TigoSabaSaba2021

بواسطة TIGOTanzania
86 979 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/06/28

Tulikuahidi na kutekeleza kukupa huduma bora pamoja na ofa kabambe ya bei punguzo kwenye bidhaa zetu zikiwa GB kibao za kutumia mwezi mzima . . Ulipotutembelea banda letu la #TigoSabasaba2020 Tulifurahi kukutana nawe mteja wetu na kukuhudumia vyema. . . Kama uliikosa ya mwaka jana mwaka huu ni kabambe zaidi #TigoSabaSaba2021 tumakuwa Viwanja vya sabasaba Dar es salaam ili uweze kujipatia ofa mbalimbali za huduma na bidhaa kabambe kwa ajili yako. Karibu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0