المدة الزمنية 13:39

PART1KIJANA ANAETEMBEA NA WAKE ZA WATU YAMKUTA MAKUBWA/AKANIROGA UUME UKAWA MREFU KUFIKA MIGUUNI

بواسطة Davistar Mata Media
30 029 مشاهدة
0
291
تم نشره في 2020/05/27

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 160
  • @
    @abdulhalimhumud1917منذ 4 سنوات Mr Mata nakubali Kazi yako hongera mzee 3
  • @
    @utapatatabusanautanyooka2600منذ 4 سنوات Mtangazaji watufunza vitu vingi kaka huna muda naintaviu zamjin fanyaz twakusapoti kaka 4
  • @
    @fasanitzfasanitz9631منذ 4 سنوات Leo kavideo kameng'aa yes uwe unapo edit unaongeza na color grading 6
  • @
    @latifaabdulla1429منذ 4 سنوات Nikiwa Oman nakufatilia asante kwa ukumbusho
  • @
    @babyboss2886منذ 4 سنوات Silent follower nimeamua kurusha comment Leo
    Kazi nzuri DM
    3
  • @
    @munnawwary757منذ 4 سنوات Cjachelew Sana leo .hhhhhh.ngoj nisonge nayo kwanz 3
  • @
    @omarynamara1339منذ 4 سنوات Aisee nimeipenda iyo,eti nimewaaribia starehe yenu my god nahisi dushelele halikusimama tena kwa woga 2
  • @
    @simongustaphshayo7947منذ 4 سنوات Kwa kweli ukiambiwa mtu ni mke wa mtu achana naye kiroho safi 1
  • @
    @salmasoso9839منذ 4 سنوات Kama kwako huna wasi aaah davistar bhana umenikumbusha ile ukamwagwa, ukaachwa 4
  • @
    @jacklineakoth1016منذ 4 سنوات Ni comet namba yangu ama niache tu? Sababu mm no wa kwanza leo 6
  • @
    @Hassanmoftyمنذ 4 سنوات ujajinyea kweli mana kufumaniwaa si mchezoo 3
  • @
    @shebaminde7656منذ 4 سنوات Jamaniiiiiiii mmeniwahi tena na leo? Lakin sijachelewa sana mlio niwah kulen like 14
  • @
    @msaliwapilimsaliwapili277منذ 4 سنوات Daaaah uyu jamaa kweli mwamba tena mwamba geu mke wa mpemba tena mgangaaa daah kweli narudia uyu mwamba
  • @
    @carolinetalam5832منذ 4 سنوات Ama kwa kweli sikio la kufa halisikii dawa +254 3
  • @
    @nikyhassan7829منذ 4 سنوات Leo nimejifunza kitu.Endelea kutuletea mikasa hili tupate kuelimika zaidi. 1
  • @
    @zeddybass6672منذ 4 سنوات Vya kuiba vinakuaga vitam .Ila mwisho wa siku uchungu mwingi
  • @
    @abdulrahmanhassan9254منذ 4 سنوات Dah huyu dogo ana roho ngumu kweli, umeonywa mara 3 isitoshe ni mganga lakini ulikataa kusitisha mahusiano na mkee wake dah 7
  • @
    @chidiomari.65منذ 4 سنوات Duh uyo dogo Ni balaa kuonywa kote huko lakin bado. 1
  • @
    @munnawwary757منذ 4 سنوات Mackin Baba wa wat mtu na haki yake anaomba msamaha Kwa kuharb stareh za watu .pole san hayo ndio madhara ya zinaa turud Kwa mung 2
  • @
    @kiri5807منذ 3 سنوات huyu alikuwa hataki kujituma akaamua kulelewa na wake za watu.
  • @
    @florachuwa301منذ 4 سنوات Mwenye mume alikua kweli na busara.. mstahamilifu.na mwema..ila we mwanakuyataka ulishupaa shingo kwa ujeuri 1
  • @
    @babarahmababarahma60منذ 4 سنوات Mata utanilipa kiasi gani kwa maana hata mm nina story yangu nataka niiweke mbele ya kioo upige pesa
  • @
    @aishachambo3293منذ 4 سنوات Wanaume wanaopenda wake za watu mwishi wake lazima wafumuliwe marinda 1
  • @
    @alifujo4153منذ 4 سنوات Huyu kama ni mm ningemuulia mbali mara zote nakukataza uwachane na mke wangu waniletea usainii.interview usingeifanya hii
  • @
    @youngyayoo2805منذ 4 سنوات Wewe ni fala sana,sijawai ona mwenzako bro
  • @
    @ayshamahariq6665منذ 4 سنوات Shkuran sana bro Davistar watuelimisha ila huyo jamaa nae aache 1
  • @
    @salmasoso9839منذ 4 سنوات From oman free Wi-Fi davistar hii ya leo to much but tunajifunza 15
  • @
    @hajiabdalla5772منذ 4 سنوات Hao wengine waongo mana huo urefu kumpita punda kawaida ukiwa mzinifu huwa huna haya wala aibu unakuwa kama mnyama kwa lana .na hao watu wapole na wakimnya na wastaarab bas ni hatar waogope watu hao 2
  • @
    @ibrahimrukundo3064منذ 4 سنوات hata namimi sipendi ugonvi naweza pitia hatuwa za maongezi kwanza kama alivyo fanya huyo mpemba. 1
  • @
    @africandarling6925منذ 4 سنوات Eee we Duuu ulikuwa mkaidi wewe kijana duuuuulikuwa unatari kweli mmhhh 2
  • @
    @gharibislam1586منذ 4 سنوات Je ingekuwa ni mamako mtu anatembea nae ungesikia Raha?kama si mke wako ama watoto wako ama mamako iko siku utakuja fanyiwa
  • @
    @rashidjuma144منذ 4 سنوات Kijana kijana️️️ Bora utafune pilipili kuliko mke wa mtu 1
  • @
    @zingahassan5851منذ 4 سنوات NICE WORK BRO MATA. TO FELLOW MAN LET US STYLE UP. 1
  • @
    @gosbertmuta5421منذ 3 سنوات Ila davstar una macho mazr Sana, Yani ulivo hv ungekutana na mm ningekushauri kitu maana unalipa na unafaa kupgia pesa haya macho
  • @
    @avierastevens5141منذ 4 سنوات Kama kwako unajiachia tu. Mwingine hapo mngebadilishana majengo ya hospital. Mmoja kisutu na mwingine mwananyamala mochwari.
  • @
    @ahshbsbx2991منذ 4 سنوات Mbona hii sautii naijua uitwii alli wee ujawahii Kuja omanii kwelii mbona Kam nakupat broo
  • @
    @elizabethtindwa7216منذ 4 سنوات Loooooooo!! Dm una mambo, eti mstaafu!!!
  • @
    @loner_wolfمنذ 4 سنوات Ukisikia mpemba katajwa ujue baadae kunamovie TU
  • @
    @ayshamahariq6665منذ 4 سنوات Leo nmewa mchana braza Davistar nasubr Part 2 kwa ham
  • @
    @demitrahawkins5457منذ 4 سنوات Mara ya kwanza..ya pili..ya tatu! You should have known that the danger involved would have been deadly! 9
  • @
    @annajoseph9955منذ 4 سنوات Wanawake sie nao dah umeolewa lakn unachepuka tena unamleta mwanaume kwa kitanda cha mumeo loooh uzinzi mwingine sio poa 10
  • @
    @barbranabakooza9589منذ 4 سنوات Duuh dgo kauzu huyu hhhhhhhh weee unadili na wake za watu tu wakati videmu viko kibao duuh mpaka kwa shekher wa utabibu
  • @
    @wazirimohammad7787منذ 4 سنوات Staili yako kijana ungetafuta wako wahalali yasingekupata hata sikupi pole nawengine wachukue funzo
  • @
    @hamidaalhabsi8568منذ 4 سنوات AAAAAA AMAKWELI ULIJIAMINI SANA MTIHANI JAMANI WANAWAKE MLIO OLEWA KWA NINI HAMRIZIKI NA WAUME ZENU KUDANGA KUNAFAIDA GANI
  • @
    @allykutenga2862منذ 4 سنوات sasa kimeendelea nn?? coz inaonekana kama kuna ki2 kitaendelea cjui talaka lkn ndo afanye yameisha tu!!. 2
  • @
    @saeedmugandja4187منذ 4 سنوات Hahahaaa mtangazaji na wewe noma yani sasa ni mstaafu
  • @
    @maxjofrey8298منذ 4 سنوات Yani nibora angekuhuwa we mkeanaumanyie yani mi naghalamia alafu mtu ajekilahis tu haisee jela hinanihusu kwakweli.
  • @
    @allycarzola9025منذ 4 سنوات Bro uwe unazipandisha zote kwa pamoja Kama vp 1
  • @
    @saidjuma25منذ 4 سنوات Mademu wote walio jaaa unajifanya kidume mpaka utembee na wake zawatu
  • @
    @SamsungA-su2qjمنذ 4 سنوات Endelea kuchezea wapemba uone kitu kitokukuta
  • @
    @joyanambuya3695منذ 4 سنوات Na ss wanawake tujifunze ushaolewa kwanini utulii na ndoa yako wahitaji kimada tuache jamani haya mambo