المدة الزمنية 3:51

MBIO ZA MAGARI KUTIMKA NDANI YA SHAMBA LA MITI SAO HILL KUHAMASISHA UTALII

بواسطة IPC Mkombozi TV
318 مشاهدة
0
6
تم نشره في 2022/09/08

Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) kupitia shamba la miti la Sao Hill mkoani Iringa wameanzisha utalii wa michezo ya magari katika shamba hill kwa lengo la kuunga mkono juhudi za kutangaza utalii wa ndani kama ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alivyofanya kwenye filamu ya Royal Tour. Akizungumza wakati wa kutangaza kwa mashindano ya magari katika shamba la miti la Sao Hill, Mhifadhi mkuu wa shamba hilo Lucas Sabida alisema kuwa wamejipanga kuanzisha utalii katika shamba hilo ambao utaongeza kipato kwa wananchi na shamba hilo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0