المدة الزمنية 21:9

WikiYaUtafiti Utafiti na ubunifu kwa maendeleo endelevu ya viwanda vya jamii tanzania

بواسطة Xtreme Media
494 مشاهدة
0
6
تم نشره في 2021/05/27

“Utafiti na Ubunifu kwa maendeleo Endelevu ya viwanda na kijamii Tanzania” Hii ni kauli mbiu katika maonyesho ya sita yenye lengo la kujadili mashirikiano ya kimkakati kwenye utafiti na uvumbuzi ambayo yamefunguliwa rasmi na waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mapema wiki hii katika viwanja vya chuo kikuu cha Dar es salaam. Haya yote yamefanyika katika maadhimisho hayo na wavumbuzi, wabunifu, watafiti na wadau wengine wa viwanda walipata nafasi ya kuonyesha kwa Vitendo mapinduzi makubwa ya uzalishaji wa bidhaa za Tanzania. MadeInTanzania wiki hii imekua itamulika matukio yote yaliyojiri kwenye Maadhimisho hayo. kupitia @cloudstv jumatano hii kuanzia saa 2:30 usiku. #MadeInTanzania

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1