kilimo cha mihogo na soko lake
bei ya gunia la mihogo
kilimo cha muhogo kisarawe
kilimo cha mihogo jamii forum
gharama za kilimo cha mihogo
kilimo cha mihogo tanga
kilimo cha mahindi
kilimo cha maharage
KILIMO BORA CHA MIHOGO
Zao la muhogo ni muhimu sana kwa Tanzania zaidi kwa wakulima wadogo wenye kipato cha chini. Wakulima wengi huchanganya zao la muhogo na mazao mengine kama vile kunde, mbaazi, njugumawe, n.k. Umuhimu wa zao hili ni kutupatia cahakula na wakati mwingine kwa biashara. Kwa kanda ya kusini muhogo ni chakula kikuu ambacho kinachukua asilimia 75 ya chakula kwa maeneo yote ya mikoa ya pwani
Muhogo hustawi vizuri katika maeneo yaliyopo kwenye maeneo ya mita 0 – 1500 kutoka usawa wa bahari. Vile vile muhogo hustawi vizuri kwenye maeneo yanayopata mvua ya wastani wa mm 750 – mm1200 kwa mwaka. Muhogo hustawi vizuri kwenye ardhi ya kichanga. Vili vile zao la muhogo ni maarufu sana kwa uvumilivu wa hali ya ukame.
TEKNOLOJIA ZILIZOPO
Mbegu bora za muhogo
Mpaka sasa hivi kuna aina mbili za mbegu bora ambazo zimathibitishwa kwa wakulima. Mbegu hizi huvumilia magonjwa, (batobato na matekenya), pia huzaa sana ukilinganisha na mbegu za kienyeji.
#mkulimasmart
#shambadarasa
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 9
مقاطع الفيديو ذات الصلة على KILIMO BORA CHA MIHOGO (CASSAVA) NA SOKO LAKE.Tajirika leo kwa kulima mihogo: