المدة الزمنية 15:8

Geita Gold 1-1 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League

بواسطة Azam TV
5 111 مشاهدة
0
16
تم نشره في 2021/12/28

Penati mbili, moja ikitokea dakika ya 51 na nyingine dakika ya 80 zimefanywa wageni wawili wa ligi kuu, Geita Gold FC na Mbeya Kwanza kumaliza pambano lao kwa sare ya bao 1-1. Ni mechi ya #NBCPremierLeague iliyochezwa Desemba 27 kwenye Uwanja wa Nyankumbu Geita na kushuhudia George Mpole na Habib Kiyombo wakitikisa nyavu.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2