المدة الزمنية 4:47

Utalii huu utaukuta Kisarawe , TFS yatoa wito kwa watanzania kutembelea

بواسطة Mwananchi Digital
474 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/03/05

#Kisarawe Wakala wa Misitu Tanzania (TFS), imetoa wito kwa wakazi wa mikoa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro na mikoa mingine, kutembelea vivutio vya utalii vilivyoko wilayani Kisarawe mkoani Pwani ukiwamo msitu wa Kazimzumbwi ambao ndani yake kuna vivutio mbalimbali na vya kipekee. Akizungumza kwenye tamasha la Kisarawe Ushoroba wilayani hapa Mhifadhi Misitu Wilaya ya Kisarawe, Fredy Ndandika amesema moja ya maeneo yanayostahili kutembelewa na wanachi na wakafurahia ni Msitu wa Kazimzumbwi uliopo wilayani humo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0