المدة الزمنية 4:00

Watoto wapinga vitendo vya ukatili wa kijinsia siku ya mtoto Afrika Tar 16 Juni,

46 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/06/17

Leo ikiwa ni siku ya mtoto Afrika, CCT kupitia kitengo cha wanawake, watoto na jinsia wametekeleza kongamano la watoto la kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa njia ya Michezo ikiwa ni uimbaji, mpira na maigizo. Kongamano hilo limefanyikia wilayani Serengeti ambapo watoto kutoka Rorya, Tarime na Serengeti wameshiriki michezo hiyo. CCT inaamini kupitia watoto hawa ambao ni viongozi wa mitandao ya kupinga ukatili shuleni, yatatokea mabadiliko makubwa kwa kupunguza vitendo hivyo. Hii ni kuwajengea uwezo watoto kujiamini katika kutetea haki zao mbele ya wazazi wao na jamii kwa ujumla. *Kuupinga ukatili wa Kijinsia Mabadiliko yanaanza na mimi*

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0