Sehemu ya pili ya #ChillnaSky ambapo Mbosso anafunguka kuhusu kutokuwa karibu na Harmonize licha ya kuwa label moja ya WCB, kwanini yeye na Aslay si marafiki tena na jinsi anavyoimiss Yamoto Band, alijisikiaje baada ya Tanasha kumblock Instagram, iwapo anapendelewa na Diamond pamoja na mambo mengine