المدة الزمنية 7:56

Simba 5-1 Alliance | Haya hapa magoli yote

بواسطة Azam TV
484 044 مشاهدة
0
2 K
تم نشره في 2020/07/19

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara, Simba SC wameidunga Alliance FC jumla ya mabao 5-1, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba yamefungwa na Medie Kagere mawili, Luis Miquissone, Deo Kanda na Said Ndemla huku Martin Kigi akifunga la kupozea machungu. VPL 19/07/2020. Haya hapa magoli yote. Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 256