المدة الزمنية 2:43:38

Filamu za Kikristo Kuamka Kutoka kwa Ndoto” | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni

7 855 مشاهدة
0
321
تم نشره في 2018/08/05

Filamu za Kikristo "Kuamka Kutoka kwa Ndoto” | Kufichua Fumbo la Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni Kama wafuasi wengi wa Bwana Yesu, Yu Fan aliangazia kuhusu kusoma Biblia, akaacha kila kitu ili kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, na akatafuta kumtumikia Bwana kwa ari. Alifikiri kuwa kwa kufuata imani yake kwa jinsi hii, Bwana atakaporudi bila shaka atanyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni. Wakati Yu Fan, ili kutimiza ndoto yake nzuri, alihubiri na kumtumikia Bwana kwa ari, watumishi wenzake waliibua swali gumu: Ingawa dhambi zetu waumini zimesamehewa, ingawa tunaacha kila kitu na kulipa gharama ya kuteseka kwa ajili ya Bwana, bado tunafichua uovu wetu mara kwa mara, bado tunatenda dhambi na kumpinga Bwana. Mungu ni mtakatifu, hivyo watu waovu kama sisi tunawezaje kamwe kufaa kusifiwa na Yeye? Je, tuna sifa za kuingia katika ufalme wa mbinguni? Hili halikumtia moyo Yu Fan kulitafakari hata kidogo, hadi alipojadiliana na wahubiri kutoka kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Kisha, Yu Fan aliweza kuelewa mafumbo ya kunyakuliwa. Hatimaye aliweza kuamka kutoka kwa ndoto yake, na kuwa na imani thabiti kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mwokozi aliyemsubiri kwa muda mrefu, Bwana Yesu. Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App Google play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.GodFootSteps.NewSongsOfTheKingdom&hl=sw&pli=1 App store: https://apps.apple.com/ke/app/id1447653528 Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org Baadhi ya taarifa katika video hii zinatoka kwa: NASA

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3