المدة الزمنية 15:2

KIPINDI MAALUM: UFUNGUZI WA MSIKITI WA NKOWE WILAYANI RUANGWA

95 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2022/01/03

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (Ijumaa, Desemba 31, 2021) alizindua msikiti wa Nkowe, ulioko kata ya Nkowe, wilayani Ruangwa, mkoani Lindi. Ambapo pamoja na mambo mengine alikemea migogoro katika maeneo ya ibada na sehemu nyingine. Pia, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu na kimbilio la mataifa yaliyopoteza tumaini. #kassimmajaliwa #uzinduziwamsikiti #ruangwa #migogoro #wazirimkuu #tanzania

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0