Kwa sasa ligi kuu Tanzania bara (TPL) baada ya kushuhudia raundi mbili imesimama kwa muda wa wiki mbili kupisha mechi za kuwania kufuzu Kombe la dunia 2022 nchini Qatar na Ligi ya Mabingwa Afrika.
Tumezungumza na Mchambuzi hodari wa soka kutoka Azam TV, Mzee wa Mambo 10, Ally Shaban Kamwe kujua kikosi chake bora cha wachezaji 11 waliofanya vizuri kwenye raundi mbili za TPL.
Msikilize hapa...
#AllyKamwe #KikosiBoraRaundiMbiliTPL #TPL #MpenjaTV
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 55
مقاطع الفيديو ذات الصلة على KIKOSI BORA CHA ALLY KAMWE KATIKA RAUNDI MBILI ZA LIGI KUU TANZANIA BARA/BIG YES OR BIG NO: