المدة الزمنية 1:7:39

TBC: UJENZI RELI ya Kisasa Wafikia Patamu

بواسطة Global TV Online
23 784 مشاهدة
0
119
تم نشره في 2018/11/09

TBC: UJENZI RELI YA KISASA WAFIKIA PATAMU Katika juhudi za serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania awamu ya tano kuboresha miundombinu ya usafiri wa ardhi, shirika la reli limejipanga vilivyo kuhakikisha ujenzi wa reli unaenda kwa kasi inayotakiwa. Akizingumzia mpango mkakati wakufika malengo hayo Eng. Masanja Machibya meneja mradi wa reli ya kisasa, amebainisha wazi namna shirika lilivyojipanga. shirika hilo la reli limejigawa katika kambi tatu ili kwenda kwa kasi na kurahisha ujenzi huo. kambi hizo ni ilala inayoshugulikia kilometa 0-20, soga km 20 mpaka 80 na ngerengere km 80 mpaka km 205. #Relikisasa #ujenzireli Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz aceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 19