المدة الزمنية 11:2

Yamoto Band - BASI live @Clouds FM

بواسطة Vimba Media
638 767 مشاهدة
0
3.2 K
تم نشره في 2017/03/31

Yamoto Band Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu kwenye Muziki, leo wameachia Track yao mpya inaitwa BASI mapema leo waliitambulisha kwa mara ya kwanza kupitia Clouds FM katika Kipindi cha Leo Tena na waliongozana na Mkurugenzi wa Kituo cha Mkubwa na Wanawe Saidi Fella ambaye alielezea ukimya wa vina hao pamoja na ule uvumi ulikuwa mtaani kuwa yamoto band wamekosa na Fella wengine walisema Aslay ametoka kundi, Msikilize Saidi Fella na Yamoto band. ___________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________________ Harakati za Bongo is an online magazine that specializes in educations stories and entertainment stories from Tanzania. Harakati za Bongo, Aloso abbreviated as HZB was started 2011 by John Sambila,who had a passion for wrinting and photography from the time he was young. Share, Support, Subscribe!!! Subscribe: UC-4fDfmsXy9hIcEmPKbARIQ Youtube: /c/HZBTV Twitter: http://www.twitter.com/harakatizabongo Facebook: http://www.facebook.com/harakatizabongo Instagram: http://instagram.com/harakatizabongo Google Plus: https://plus.google.com/+ harakatizabongo Website: http://harakatibongo.com/ #Aslay #Mbosso #YamotoBand #Basi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 271