المدة الزمنية 1:22

Goli la Mtibwa Sugar dhidi ya Coastal Union Mkwakwani - NBC Premier League

بواسطة Azam TV
23 226 مشاهدة
0
57
تم نشره في 2021/12/28

Goli pekee la mkwaju wa penati kutoka kwa Salum Kihimbwa limeipa Mtibwa Sugar pointi tatu muhimu ugenini dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliochezwa leo kwenye uwanja wa Mkwakwani, jijini Tanga.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4