المدة الزمنية 3:24

Bunge la Seneti lahimizwa kupitisha mswada wa hazina ya usawazishaji

بواسطة KBC Channel 1
64 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2020/08/01

Viongozi kutoka maeneo ambayo hukumbwa na mafuriko mara kwa mara wanalitaka bunge la senate liharakishe utungaji wa sheria ili kuwezesha kutolewa kwa shilling billioni 26 za hazina ya usawazishaji. Viongozi hao wanaonya kwamba mafuriko ya mara kwa mara huchangia mikasa na ipo haja ya kuchukua hatua za haraka kuepusha mikasa inayosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika sehemu mbali mbali za nchi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0