المدة الزمنية 4:40

KIKWETE MAGUFULI SIKUKUAMBIA YULE MSUKUMA UMTUMBUE, WAKATI WA KAMPENI

بواسطة Millard Ayo
49 413 مشاهدة
0
320
تم نشره في 2020/05/30

#millardayoUPDATES

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 67
  • @
    @jeremiadaudi5780منذ 4 سنوات Ahsante rais magu kwa kuoshi pamoja na wa staff wenzio 8
  • @
    @fatumasamiasuluhuog8696منذ 4 سنوات Jamani Magufuli ana roho nzuri mnataka nini tena watanzania Magufuli anatoshaaaaa 4
  • @
    @Anza_tzمنذ 4 سنوات Sema magufuli ana akili sana ameitunza sana heshima ya waliomtangulia 11
  • @
    @samanthaali873منذ 4 سنوات Hahahaha nampenda mzee kikwete mtulivu 4
  • @
    @augustinomwamasinga2200منذ 4 سنوات Daah Rais Magufuri ni level ya juu sanaaaaa
  • @
    @mdathirumagayane688منذ 4 سنوات Jakaya una busara sana ,natamani ningekuwa na busara kama za kwako,Mungu akulinde sana
  • @
    @shaabansulaymaan4478منذ 4 سنوات Kwamba ulkuwa unajua kuna ttzo lkn ulshndwa kuchukua hatua, ukawa unapigwa kiswahil cha "tupo mbion"
    4
  • @
    @starvennja2480منذ 4 سنوات well done our president magufuli God is gonna bless you
  • @
    @nikiflavour3884منذ 4 سنوات uyo mzee aja badilika bado mzee una chekesha mbaya,2me kumiss usikae kimiya sana 1
  • @
    @teddykanondo5753منذ 4 سنوات MZEE WA BUSARA. MAGUFULI YUKO KWENYE HOTUBA AKIPITA MWANAMKE MWEUPE TAYARI KAGEUZA HOTUBA. KUBWA JINGA.
  • @
    @dechaggagirl1614منذ 4 سنوات Hyu mkapa jmn kumbe yupo ndio enzi zangu nasoma iyo alikiwa
  • @
    @erickwanjarajr5707منذ 4 سنوات Mambo ya kuleana ndiyo yameifikisha hapa tz, kama yule ngosha angemwacha Leo wangepata mgao wa ndenge. Think about!?
  • @
    @ismailahmed5133منذ 4 سنوات huyu ndege mbaya yaani yeye atakae wakuta ndo hao hao,,,duh,, 1
  • @
    @philipomathew300منذ 4 سنوات KIUKWELI JK HUKUMSIKIA RAIS WETU HAJAKWAMBIA ETI ULIMWAMBIA AMFUKUZE MSUKUMA HAPANA KASEMA ALIVYOINGIA IKULU YY ALIMFUKUZA KAZI KWASABABU WW ULIMSHAURI HUYO MSUKUMA HAKUKUCKILIZA UMEMCKIA VIBAYA
  • @
    @gemkacharمنذ 4 سنوات Jamani nawapenda sana hawa ndege tausi. Niwapi naweza kuwanunua niwafuge. Nisaidieni jamani hela sio tatizo. Hela ninazo. Namiliki eneo langu na shamba kubwa mahali palipo salama. Jamani nisaidieni nipate kumiliki tausi. 1
  • @
    @ubuzimabuzimatvمنذ 4 سنوات Hello kuko tweeter nimeandika tweeter yangu naomba Raisi wawanyonge Dkt John Pombe Magufuli, ndege ya Tausi muni fikishiye ire tweeter kwake nawaomba, tweeter yangu: ubuzima Buzima 1
  • @
    @jeffjohlu2910منذ 4 سنوات Kama unaumgana nami kummic Mh. J kikwete gonga like apa 11
  • @
    @darkplatnum9006منذ 4 سنوات Rais bora kuliko wot tanzania huyo mh jakaya msrisho kikwte pumzika baba ulisem kwel me ni mtuliv ila kuna siku mtanikumbuka kwel baba 7
  • @
    @mtakamaonline7748منذ 4 سنوات offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 22-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0764325083/0654362426.
  • @
    @petermushy9883منذ 4 سنوات Jk tunakumisi mzee wetu mwambukizie uyo jamaa chembechembe za kula bata tuenjoy basi 5
  • @
    @husnahassan6289منذ 4 سنوات Hahaha huyu mzee nampenda sana wallah yaani yupo smart mno akitabasamu sasa woiii love u so much KIKWETE 7