المدة الزمنية 1:27

MBUNGE FESTO SANGA KIJIJI KWA KIJIJI MAKETE KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAJI NA NYINGINE.

114 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/07/14

*Maji Kisinga* ✅ Changamoto ya uhaba wa Maji Kijiji cha Kisinga Kata ya Lupalilo Sasa imekuwa historia baada ya Mbunge wa Jimbo la Makete Mhe. Festo Sanga kulivalia njuga suala hilo katika kuhakikisha anatatua changamoto zinazowakabili wananchi ikiwemo ya Maji Ni baada ya kufika Kijijini hapo na Katibu Mkuu Wizara ya Maji Eng. Sanga mnamo mwezi wa pili 2021 ili kuona changamoto iko wapi na hatimaye changamoto hiyo imetatuliwa Wananchi wameishukuru kwa ufumbuzi wa Changamoto hiyo...kwa sasa wameomba kuongezewa Vituo vya maji ili kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0