المدة الزمنية 7:16

Jicho Pevu: Dawa Za Karaha pt.1a

بواسطة KTN News Kenya
600 138 مشاهدة
0
1.8 K
تم نشره في 2011/03/07

Mengi yamesemwa kuhusiana na ulanguzi na matumizi ya dawa za kulevya nchini lakini hadi kufikia wa leo hamna jawabu dhabiti la kutoa suluhu. Ni aibu kwa serikali kushindwa kuwakamata wahusika na badala yake kuambulia kuwakamata watumizi. Hii leo katika sehemu ya kwanza ya Jicho Pevu mwanahabari wetu mpekuzi Mohammed Ali amelizamia suala lote nzima pasi na woga na kuibuka na mengi yaliyokuwa katika ripoti zote mbili za bunge na ile ya Rannerberger. Kwa ngoma kamili kaa mkao wa tahiyatu na ujionee na kusikia mengi usiyoyajua.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 68