المدة الزمنية 9:41

RC AWAKUTANISHA MWANAMKE ALIYEPIGWA kwenye FUMANIZI, MKE na MUME ALIYESABABISHA KIZAAZAA..

بواسطة Global TV Online
221 193 مشاهدة
0
1 K
تم نشره في 2020/06/04

RC AWAKUTANISHA MWANAMKE ALIYEPIGWA kwenye FUMANIZI, MKE na MUME ALIYESABABISHA KIZAAZAA.. Ikiwa Ni siku chache zimepita tangu kusambaa kwa video ikimwonesha Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika akichezea kichapo kutoka kwa mwanamke mwenzie kwa kile kilichodaiwa Ni kufumaniwa na mume wa mtu, Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, leo Juni 04, amewakutanisha mume na mke pamoja na dada huyo aliyepigwa.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 927