المدة الزمنية 29:42

PISHI LA SUPER DADA LAFANYA SWEBBE NA DR KUMBUKA WAMPE NAFASI

بواسطة Dina Marios tv
8 622 مشاهدة
0
88
تم نشره في 2021/08/12

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 40
  • @
    @rahmaramadhan9773منذ 3 سنوات Kipindi mashallah DINA nawapenda Sana jamani hongereni kumbuka na swebe mna changamsha sanaaaaaaaa
  • @
    @mamunote3507منذ 3 سنوات Asanteni sana Uhondo Mungu awabarikie sana
  • @
    @estherjulita4490منذ 2 سنوات Jamani nafanyakazi yanyumba jamana nawasikiliza sisi atuna mashetani bwana
  • @
    @namirihamisi3899منذ 3 سنوات Swebe Ubungo na Baruti mbona karibu au umehama?? 1
  • @
    @yusrasalumمنذ 3 سنوات Dina waulize na mishahara yao wawe wanalipa vizuri sio ukae na dada miaka kumi unamlipa kwa mwez elfu 20 wakiondoka hawana kitu 1
  • @
    @floramlowe7078منذ 3 سنوات Kweli sikuhizi tumekalili ukiona rafiki wa kike na kiume ujue kuna jambo lkn mi naona niushamba na inawezekana tu.
  • @
    @mamunote3507منذ 3 سنوات MM ni me leave mwenyewe watt Wangu na huku ninakorofisha kazi zangu binafsi
  • @
    @rhdimpoz6019منذ 3 سنوات Maa shaa Allah nami nikirudi ughaibuni nitawapikiaa Hahaha 1
  • @
    @naidasuleyman6005منذ 3 سنوات Lol kumbuka kanishinda tabia kwa kwelii mashavuu makubwaa kwa kupuliza motoo mhhjh
  • @
    @dothosalum5098منذ 3 سنوات Mmenichekesha hapo mashetwani, hiyo ndio Stahili ya ughaibuni. Ukichoka job unaamsha mashetwani ya kihind kiarabu kizungu kiswahili tickets fasta 1
  • @
    @zeinababdi4757منذ 3 سنوات Wanawake huko bongo wanajidekeza, mbona wengine tunafanya kazi nje ya nyumba na bado tunalea bila hao wadada wa kazi.pls
  • @
    @aishaally2730منذ 3 سنوات Wamama wa leo labda huko tz sie wanje mtu unabeba mimba na unawatt nakazi zote za nyumba unafanya alhamdulilah watt wanakuwa na tunazaa mpaka watt sita