المدة الزمنية 5:48

MNYIKA ATOA ONYO WAGOMBEA UBUNGE, UDIWANI CHADEMA

بواسطة MwanaHALISI TV
7 889 مشاهدة
0
90
تم نشره في 2020/07/04

John Mnyika, Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewaonya watia nia katika kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020, kutoleta mpasuko ndani ya chama hicho. Mnyika ametoa onyo hilo leo Jumamosi tarehe 4 Julai 2020, wakati anafungua mafunzo ya watia nia wa kugombea ubunge, udiwani na urais, katika Kanda ya Pwani jijini Dar es Salaam.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 31
  • @
    @onesmojustice2348منذ 4 سنوات Yalikuwa yanampinga jpm kwa kutokufanya lockdown yaone yenyewe ata barakoa tu hayajavaa no social distance lkweli haya ni vichwa maji 1
  • @
    @paschalkache905منذ 4 سنوات Samaha katibu mpaka sahv mmefikia wap kwenye msimamo wenu kuhusu lockdown? 1
  • @
    @bennymochiwa4800منذ 4 سنوات safari msituletee wasenge ambao badae wanaunga juhudi za kisenge safari tutazaa nao, mniwie radhi kwa lugha yangu ila sasahv atutaki usenge tunaka makamanda id="hidden1" class="buttons"> wa kweli km makamanda wetu tuliobaki nao mpk dk ya mwisho, no hate no fear ....وسعت 1
  • @
    @mzeesuleiman9612منذ 4 سنوات Nyinyi wenyewe c wadilisi vibaraka wa mabeberu
  • @
    @jumannekigori8833منذ 4 سنوات Lockdown imekuwa zilipendwa tunasubiri oktoba masanduku ya kura yatoke Lockdown tuyahukumu.
  • @
    @ellytunduza9900منذ 4 سنوات ACT WAZALENDO ndio habari ya mjini CHADEMA pumzikeni
  • @
    @mimimars3378منذ 4 سنوات We unaumwa, nenda hispitali, kuchukua dora,,,, sema lingne tu
  • @
    @mzeesuleiman9612منذ 4 سنوات HIVYO NYINYI MNAMUAMINI? ANAKUONGOPEENI TU. MNAPOTAZA MDAWENI AMPATI UBUNGE NQ'O 1
  • @
    @kikwajankalango6088منذ 4 سنوات Mahitaji ya sasa ni muungano wa vyama vya upinzani na ninyi hamlioni hilo mnadhani mnawatendea haki Watanzania wanaohitaji demokrasia ya kweli au naninyi ni walewale vibaraka wa ccm? 1
  • @
    @tinyaanosiatha1118منذ 4 سنوات Mnyika kuitoa ccm madaraka siyo leo wala kesho Nadhani unaota Hata mkiungana wapinzani wote watanzania chukua na upinzani wa ungada hamuwezi kuitoa ccm id="hidden3" class="buttons"> madarakani . Mjipange kwanza . . Labda chadema kuchukua dora miaka hamuni mbele. . Tatizo lenu hamuna sela. Na kingine badilisheni uongozi . Mbowe ndiye kaua chadema . Chadema ya 2015 ilikuwa moto . Sasa hivi kimebaki jina tu. ....وسعت 1