المدة الزمنية 9:22

KIFUSI CHAUA WANAFUNZI 3: WAZIRI UMMY AWASIMAMISHA KAZI WALIMU SHULE NZIMA - WANAFUNZI Sio VIBARUA

بواسطة Global TV Online
16 029 مشاهدة
0
67
تم نشره في 2021/07/28

KIFUSI CHAUA WANAFUNZI 3: WAZIRI UMMY AWASIMAMISHA KAZI WALIMU SHULE NZIMA - "WANAFUNZI Sio VIBARUA" SIKU Moja baada ya wanafunzi watatu wa Shule ya Msingi Mbori wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma kufariki kutokana na kuangukiwa na kifusi cha Mchanga waliokuwa wakichimba Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Ummy Mwalimu amefika katika shule hiyo na kutoa muda wa siku saba kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza kwa kina sababu za wanafunzi Hao kwenda kuchimba mchanga katika eneo hilo, Pia Waziri Ummy aemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka kuwaondoa walimu wote katika shule hiyo huku akiwataka walimu katika shule zote nchini kufuata miongozo ya Elimu ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 32