المدة الزمنية 2:10

Maneno ya Mkuu wa Wilaya akimpongeza Mumewe kwa Kuoa Mke wa Pili

بواسطة Millard Ayo
144 519 مشاهدة
0
505
تم نشره في 2018/02/21

Leo February 21, 2018 moja ya stori inayoshika headlines katika mitandao ya kijamii Tanzania ni kumhusu Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainab Abdallah, ambaye amewashangaza watu wengi baada ya kutoa pongezi kwa Mume wake baada ya kuoa mke wa Pili, kwani ni adimu kwa Mwanamke kumpongeza Mumewe kwa kuongeza mke. Kupitia ukurasa wake wa Instagram DC Zainabu ameandika kuwa wazo la mume wake kuongeza mke wa pili lilitoka kwake, baada ya kuona majukumu ya kazi yanambana na kushindwa kutekeleza majukumu ya ndoa.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 183