المدة الزمنية 9:9

ZANENA SIKUKUU - KWAYA YA MT STEPHANO | TRADITIONAL CHRISTMAS CAROLS CONCERT - KIPAWA

بواسطة Jugo Media
7 150 مشاهدة
0
44
تم نشره في 2019/12/27

Karibu Mpenzi mtazamaji wa JUGO MEDIA leo tena tunakuletea nyimbo mbalimbali zilizoimbwa na kwaya ya Mtakatifu Stephano Shahidi Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mkombozi Kipawa katika onyesho la nyimbo za krismasi zilizoimbwa usiku wa tarehe 24 December 2019 kabla ya kuadhimisha Ibada ya Kesha la Noeli. karibu uungane nasi, Mungu akubariki sana. Mawasiliano: JUGO MEDIA, Sokoine Drive, Posta P. O. BOX 34014, Dar es Salaam. For Bookings and other Enquiries Phone Number +255757560764/657790405

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 12