المدة الزمنية 5:48

Magoli na mikwaju ya penati | Team Feisal 1-1 Bui Combine (Pen:4-2) | Mechi ya Hisani

بواسطة Azam TV
223 919 مشاهدة
0
761
تم نشره في 2023/06/24

Timu Feisal Salum, #TeamFeisal imeondoka na ubingwa wa penati 4-2 baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Timu ya Abdulaziz makame #BuiCombine katika mchezo wa hisani wa kusaidia akina mama wajawazito #SaidiaWazazi uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Mao, visiwani Zanzibar. Team Feisal ilitangulia kupata bao kupitia kwa Matheo Anthony dakika ya 6 kabla ya Obrey Chirwa kuisawazishia Bui Combine dakika ya 89. Ikapigwa mikwaju kumi ya penati ambapo Team Feisal ilipata penati nne ikiwemo y Fiston Mayele dhidi ya mbili za Bui Combine. Tazama hapa magoli mawili na penati zote kumi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 48