Wimbo: Bwana Mfalme Ameketi milele
Mtunzi: John Mgandu
Oganists: George Bingi
Kanisa/Location: Parokia ya Bikira Maria Mkingiwa Dhambiya Asili, Mavurunza
Maneno ya wimbo
NA J. MGANDU
Bwana Mfalme ameketi milele, (Bwana) atawabariki watu kwa amani x2
1. Atawala duniani na mbinguni toka mto hata kingo za dunia
2. Na wafalme wote wata mwabudia, mataifa yote yatamtumikia
3. Utawala utawala wa milele ni ufalme wenye kudumu milele