المدة الزمنية 13:47

SAUTI KUTOKA KITANDA CHA MTOTO SARA

بواسطة Makutano TV
464 مشاهدة
0
13
تم نشره في 2020/08/22

KWA MSAADA AU MCHANGO WASILIANA NA FAMILIA KWA NAMBA 0767 549499 -SILLA LUKOSI Sara Kibengu ana umri wa miaka 5, Ni mtoto wa 7 kuzaliwa, kwa mujibu wa mama (Jane Mbegale) anasema Sara alianguka alfajiri Mwaka Jana mwezi Disemba. Mama yake anasema pamoja na jitihada mbalimbali walizozifanya kutafuta matibabu bado Hali ya Sara haina unafuu. Kwa Sasa Sara mama yake wanaishi kwa Bibi Kidabaga, Ngangange baada ya baba ya mtoto kuondoka kutokana na shutuma za kifamilia. Hitaji la mtoto Sara kwa Sasa Ni matibabu na Lishe.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3