المدة الزمنية 4:41

NYIMBO 5 BORA ZA MAUMIVU YA MAPENZI | TOP 5 HEART BREAKING HIT SONGS

بواسطة Kulkidayo
172 906 مشاهدة
0
526
تم نشره في 2020/04/11

JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA PESA MTANDAONI KUANZIA ELFU 7 - ELFU 10 KWA SIKU HAPA 👇🏿👇🏿👇🏿 /watch/4yDROi_ifh8iR Waswahili Husema ukimuoma nyani mzee jua amekwepa mishale Mingi msemo huu una maanisha vitu vingi ila kwenye ulimwengi wa mahusiano msemo huu pia unaweza kutumika kikawaida ulimwengu wa mahusiano una mengi mapito ya chini na juu mapito ya magumu kwa mepesi katika magumu kuna wakati unafika hata mahusiano kuvunjika na wapendao kugeuka maadui kabisa kama sio watu waliowahi kuwa pamoja walioshare kila kitu kwa muda mrefu au mfupi basi pindi mahusiano yanapovunjika ni namna gani nzuri unaweza kupitia hata ukafanya maumivu yako yawahi kuisha leo tutatizama nyimbo tano za bongo zinazoweza kukusaidia kupunguza  maumivu au mawazo ya mpenzi pindi ulipoachwa au mahusiano yako yanapofikia kikomo KEYWORDS: Nyimbo za mapenzi Nyimbo za mpenzi za kuhuzunisha Nyimbo nzuri za mapenzi Nyimbo za huzuni Maumivu ya mapenzi song Nyimba laini ya kumliwaza mpenzi Nyimbo za huzuni za mapenzi Mapenzi yana run dunia Nyimbo za kizungu Nyimbo za mahaba Kayumba - Maumivu Nyimbo yenye hisia Kali za kimapenzi Mapenzi ni maumivu yaliyojificha Nandy - Kivuruge Marioo - Inatosha Alikiba - Maumivu per day

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 42