المدة الزمنية 1300

KIKOSI CHA SIMBA SC TUKIFANYA MAZOEZI.

1 799 مشاهدة
0
9
تم نشره في 2018/08/20

Kikosi cha Simb SC leo hii tunaendelea na mazoezi katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam, kikijifua kuelekea mchezo wetu wa kwanza siku ya jumatano dhidi ya TZ Prisons kwenye msimu mpya (2018/2019) wa ligi kuu Tanzania Bara. Picha na maktaba. #KibingwaZaidi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1