المدة الزمنية 21:49

WAZEE 3 Waliohukumiwa KUNYONGWA WANENA; Rais Mwinyi, Mkapa, Kikwete WALITUACHA, Tulikata TAMAA

بواسطة Global TV Online
63 900 مشاهدة
0
268
تم نشره في 2019/11/01

WAZEE 3 Waliohukumiwa KUNYONGWA WANENA; "Rais Mwinyi, Mkapa, Kikwete WALITUACHA, Tulikata TAMAA! NAMBA YA SIMU YA KUWASILIANA NAO: +255 758 034 788 - DOLA SHAPILA Ni simulizi ya maisha ya wazee watutu waliohukumiwa kwa pamoja kunyongwa na kukaa gerezani miaka 43 kabla ya kuachiwa kwa msamaha wa Rais Magufuli, Na hii ni sehemu ya MWISHO ya simulizi yao ya pamoja. #MzeeMlyuka #MzeeAloyce #MzeeMwalongo YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982) ---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:/playlist?list ... GLOBAL RADIO TV:/playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEWS:/playlist?li

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 100
  • @
    @globaltv_onlineمنذ 5 سنوات JE, una habari ungependa wana You Tube waijue? Tutumie au tupigie WhatsApp No: +255 657 955825, +255 676 229628 au +255 784 888982 - GLOBAL TV ONLINE. 3
  • @
    @deusmauka9626منذ 5 سنوات Kama mlionewa Mungu ndiye anaejua, ole wenu muwe mliua alafu mnajifanya kujuajua leo baada ya kuachiwa huru, mkili ukweli ,msema kweli ni mpenzi wa Mungu, id="hidden2" class="buttons"> uongo utakuja kuwaingiza kwenye majanga mapya zaidi ya hayo, hujafa hujaumbika. Mmesha achiwa, kama uliua kweli, sema vile ilivyokuwa ili Polisi wajifunze kitu namna ya kupeleleza iwe ni somo katika jamii, siyo wote wanaopewa msamaha eti kwamba hawakufanya makosa walionewa, hapana, huo ni msamaha wa Rais kwa wale waliokaa muda mrefu jela japo wengine pia wamesingiziwa. ....وسعت 10
  • @
    @andrewkalyambeju2397منذ 5 سنوات Mungu awabariki wandishi wa habari mmenitoa mchozi
  • @
    @rehemaelias9529منذ 5 سنوات Daaah nimejikuta nalia tu maisha haya yana mitihani yake poleni sana familia
  • @
    @jaklinifaustini4259منذ 5 سنوات Polen sana baba,zangu mungu katenda haki
  • @
    @jamalkimbililo9127منذ 5 سنوات Poleni Sana wazee wangu mungu anatupenda sote mungu atawalinda Sana 4
  • @
    @shamsahassan2586منذ 5 سنوات mungu atawapigania inshallah,,binaadam c kazivyenu kuuwa binaadam wenzenu hivo mnaingilia kazi za mola mbina,,inshaall mungu awahifadhi wazee wangu inshallah 4
  • @
    @evajohn7001منذ 5 سنوات Nimeshindwa kuvumilia nimelia sana ,mh john pombe magufuri mungu aliyetuumba awe kila eneo la maisha yako.
  • @
    @mariamfritsi9761منذ 5 سنوات Magu mungu akupe maisha marefu na pia akusamehe makosa yako yote.mungu ataendelea kukulinda na uendelee kuokoa wengine. 3
  • @
    @anetfaida721منذ 5 سنوات Penye haki cku zote mungu hutenda haki. 12
  • @
    @rafikiwildlife4263منذ 5 سنوات Hongereni sana waandaji wa makala hii, Mimi Mch Matwiga wakati nasikiliza nimetokwa na machozi mengi sana ila atukuzwe Mungu kwa yote tunawaombea afya njema Wazee wetu na familia zao. Mungu ambariki rais Magufuli
  • @
    @carodavies3422منذ 5 سنوات hongereni sana endeleeni kumshukuru mungu,kwakumleta RAISI wawanyonge maguu,muungeni mkono hats hivyo wasameheni,maraisi waliopita,RAISI wenu maguu alismamia id="hidden5" class="buttons"> ukweri,na ukweri ndo ulimitoa,bravoooo RAISI wangu,ushindi wakondo huu 2020 ....وسعت 4
  • @
    @happymsaki1720منذ 5 سنوات Poleni sana ndgu zangu oneni Mungu alivyo mwema nyakati hizi ndio MUNGU alipanga ninyi kutoka poleni sana inasikitisha sana baba zangu ila Mungu aponye NAFSI NA MIOYO YENU NI UCHUNGU SANA 2
  • @
    @mwanahalimamwachili9679منذ 5 سنوات Barikiwa sana Rais Magufuli,Mungu akupe Umri Uzidi Kuokoa Wanyonge naTaifa Kwa Jumla.Poleni Sana Wazee.
  • @
    @josephosborne3818منذ 5 سنوات Kama kwel hamjaua poleni Sana,,Mungu atalipa
  • @
    @salimharrasy7047منذ 5 سنوات Tumuogope Mungu.
    Wengi waliopo jela wameonewa.
    3
  • @
    @oliviaseth4652منذ 5 سنوات Yaliyo watokea hawa wazee, Mungu anajua, kabla hujafa,hujaumbwa.
  • @
    @quranhadith1675منذ 5 سنوات Catherine you're very smart. Hongera sana.
  • @
    @omarimziya390منذ 5 سنوات Kila mtu kasingiziwa mh haaya mungu ndiye ajuwae
  • @
    @officialkamduduمنذ 5 سنوات Polisi na Mahakimu japo kuhukumu sio kazi yangu ila nyinyi ni watu wa motoni maana vitendo vyenu hata Shetani huka pembeni kujifunza kwenu 12
  • @
    @mohamedomar4037منذ 5 سنوات Mungu akupe kheri mheshimiwa kwa kuwasamehe wazee hawa yaani wafungwa 67 waliohukumiwa kunyongwa kwa makosa ambayo hayana uhakika tunashukuru sana kwa kuwahurumia Hao wafungwa
  • @
    @wahidashabaz5982منذ 5 سنوات kweli sote ni wafungwa yani yatu wanafanya matukio kisha wanakamata watu na kuwafunga paspo uhakika yani maisha yao yote wazee wangu yameishia gerezani poleni sana
  • @
    @OnlyRukyمنذ 5 سنوات Allah aendelee kutulinda hata sasa hatuko salama. 9
  • @
    @errickmwakyusa5727منذ 5 سنوات Kiukweli ushuda pekee hautoshi muokoke Waze wetu mungu anaokoa.
  • @
    @tifadent1112منذ 5 سنوات Kama mumemuona bibi anamuangalia mume kwa mapozi gonga like 1
  • @
    @khalfanabass4564منذ 5 سنوات anae juwa ukweli ni mungu tu nahata kama MTU kauwa hakubali hata Siku moja atakataa hadi apondane
  • @
    @samuelpeter6964منذ 5 سنوات Sio zamani hata sasa watu wanasingiziwa mambo mengi na wako jela na wengine wameuwawa
  • @
    @rajabalfarazliganja397منذ 5 سنوات Kama ni fundisho ama ukiua unaukumiwa kifo basi kusiwe na watu zaidi ya mmoja kwenye hukumu ya kifo apatikane muhusika na sio wahusika. 2
  • @
    @abednego3876منذ 5 سنوات TAIFAi lilikua na viongizi Katili, Wasiowaonea huruma wananchi,Mafisadi, na Waliojilimbikizia mali kwa kutumia kodi, na Waonevu kwa Masikini. Alafu cha ajabu wa2 ndio wanaowapenda. Live Long JPM the man of God. 4
  • @
    @samuelpeter6964منذ 5 سنوات Hayo mnayoyaona kuwa ya zamani hata leo jumamosi watu wako jela na hawana kesi ya kujibu ilimradi mtu hajisikii kukuona utatafutiwa sababu inafungwa au kupotea na hata kufa kabisa maana WaPo watu kwa kazi hiyo.
  • @
    @alexmwalingo5120منذ 5 سنوات Tumuombee Raisi wetu awe na afya njema siku zote ili aendelee kututetea sisi wanyonge 2
  • @
    @fatmaalhabs6939منذ 5 سنوات Maraisi wa saman walikua hawatami.haki za watu wengi wamedhulimiwa.wanafungwa kwa makosa sio.yao
  • @
    @khamisrubea5083منذ 5 سنوات Aliyeua nae auawe ila asiuliwe mpaka uchunguzi wa kina upite 2
  • @
    @fatmaalhabs6939منذ 5 سنوات Jaman.serekali.ilikua wapo. Kudhulum.watu.hivo.
  • @
    @mohamedomar4037منذ 5 سنوات Marais Mkapa Mwinyi na Kikwete kwa nini msichukue mfano WA Magufuli nyinyi mnawasahau watu jela mpaka wanazeeka huko kwa kosa la maaskari na majaji wanaowafunga id="hidden11" class="buttons"> watu kimakosa na kuwahukumu kunyongwa mpaka maisha inaishia huko ....وسعت
  • @
    @andrewkalyambeju2397منذ 5 سنوات Raising JPM ana watu wengi saana wanaomwombea kwa mungu
  • @
    @salehhamadi6070منذ 5 سنوات Kama unaamini Sote sisi ni wafungwa hakuna anaejijua kama hatofungwa achia like tujuane 20
  • @
    @abuyunusmohamed6961منذ 5 سنوات Adhabu ya kifo haifai?je mtu akiua kwa makusudi nini hukumu yake?je wale waliouliwa hawana haki ya kuishi?Tuwe wakweli na waadilifu 3
  • @
    @oparetionmaalum9030منذ 5 سنوات Sikuzote mtenda kosa hakubali kosa lake atajitetea tuuu
  • @
    @kajaymopao1672منذ 5 سنوات hawa wazee walihukumiwa kinyongo bila ya hatia wametumikia jela miaka 50 walipoteza maisha yao yote jela ambapo ni makosa ya serikali awakufanya uchunguzi id="hidden12" class="buttons"> wa kutosha wamewaharibia maisha hawa wazee wangetafuta wanasheria waishtaki serikali iwalipe mda wao walio potezamaisha yao jelani ambapo ni mabillion ya pesa ....وسعت
  • @
    @farysany6149منذ 5 سنوات Hatakama kuna walioonewa lkn hawa wazee mmmmmhh kwanini wote wawe na umri unao endana na kwann wrote walikuwa na magari kwa kazi zisizo eleweka muogopeni Allah nyie waja dah kama ni uongo IPO siku itadhihirika 1
  • @
    @babanicole815منذ 5 سنوات Hakuna muuaji anayekubali kaua. Hakika!
  • @
    @fatmaalhabs6939منذ 5 سنوات Maraisi na mazir na majaji na mapolisi wote wazamani motoni mmezulum.sana watu wanyoge
  • @
    @samuelpeter6964منذ 5 سنوات Hasa ukionekana kuwa fikra zakujengea ziko kinyume na mtawala mwenye dhamana jiandae kupotelea kusikojulikana na hata kufa kabisa