Naibu waziri ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) Josephat Kandege amefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali Jiji Arusha ikiwa ni sehemu ya Majukumu yake ambapo ameonyesha kushangazwa na utekelezaji wake.
Naibu Waziri Kandege ameuongeza Uongozi wa Wilaya ya Arusha na Ule wa Halmashauri ya Jiji la Arusha kwa Usimamizi mzuri wa Miradi hiyo ambao umezingatia Bajeti waliyopatiwa..
TAZAMA VIDIO HII...