المدة الزمنية 11:3

SHAHIDI wa SITA KESI ya SABAYA AMWAGA MACHOZI MAHAKAMANI, ALINITOLEA BASTOLA

بواسطة Global TV Online
43 382 مشاهدة
0
144
تم نشره في 2021/07/28

SHAHIDI wa SITA KESI ya SABAYA AMWAGA MACHOZI MAHAKAMANI, "ALINITOLEA BASTOLA"... Mahakama Yaelezwa SABAYA Alimwekea Bastola Mwanamke Wa Shahidi Mdomoni KENANI KIHONGOSI Atajwa. Bakari Msangi Shahidi wa sita wa jamuhuri katika kesi ya unyan'ganyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya, Nyegu pamoja na Daniel ,ameangua kilio mahakamani wakati akielezea mahakama alipokuwa akitishiwa bastola na Sabaya huku akiwa amefungwa pingu miguuni na mikononi. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 140