المدة الزمنية 58:31

MIZANI YA WIKI: Vifurushi vya BIMA YA AFYA KUTOKA NHIF vina maana gani

بواسطة Azam TV
1 897 مشاهدة
0
9
تم نشره في 2019/12/01

Wakati Mfuko wa Bima ya Afya nchini (NHIF) ukianzisha vifurushi maalum kwa ajili ya kuwapa wepesi wananchi kulipia gharama za matibabu kupitia mfuko huo na kuwawezesha kupata matibabu bila hofu ya kuwa na pesa, wadau wa afya wamekuwa na hoja kadhaa kuhusiana na vifurushi hivyo. Ungana na Nurdin Selemani akiwa na mkurugenzi wa NHIF, Bernard Konga, Dkt. Issack Maro na rais wa chama cha madaktari Elisha Osati. MIZANI YA WIKI kila Jumapili kuanzia saa 2:30 usiku kupitia #UTV

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 5