المدة الزمنية 2:7

Wateja wa NHIF sasa hawatakuwa wakihitajika kuchagua hospitali

بواسطة Citizen TV Kenya
4 394 مشاهدة
0
19
تم نشره في 2017/11/02

Wagonjwa wa huduma za nje sasa watapata matibabu bila kuhitajika kuchagua hopsitali. Hii ni kwa mujibu wa hazina ya kitaifa ya bima ya matibabu, NHIF, ambayo imezindua mpango unaolenga kupanua huduma za afya kwa wote humu nchini. Hata hivyo, anavyoripoti mwanahabari wetu Denis Otieno, mpango huu utatumika tu mara nne kwa kila mwanachama wa NHIF kila mwaka. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+ CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1