المدة الزمنية 10:14

HECHE AMTAJA LISSU KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA UCHAGUZI MKUU 2020

بواسطة Mwananchi Digital
21 145 مشاهدة
0
102
تم نشره في 2020/07/07

Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikipanga kuanza vikao vya kupitia majina ya waliojitosa kuwania urais, mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche amesema mmoja wa waliojitosa, Tundu Lissu amebeba maono ya chama hicho na ya Watanzania. Akizungumza kwenye kikao cha kutoa taarifa ya utekelezaji wa mbunge wa jimbo la Bunda Mjini, Ester Bulaya, Heche amesema Lissu amepitia mambo magumu ikiwa ni pamoja na kupigwa risasi 16 lakini bado nia yake ya kudai haki kwa ajili ya watanzania iko pale pale. LISSU AWA WA KWANZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS CHADEMA /watch/4I9ZOcdnbk-nZ

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 57