المدة الزمنية 5:59

Jinsi ya Kupata Vocha ya 1000 ya Tigo au Voda Bure Kila Siku Maujanja 100

بواسطة Tanzania Tech
23 990 مشاهدة
0
194
تم نشره في 2019/06/27

Karibu kwenye Maujanja, Leo nimekuletea njia rahisi ambayo unaweza kutumia kupata salio la hadi Tsh 1000 la mitandao ya Vodacom au Tigo Bure Kabisa. Njia hii inafanya kazi kwa asilimia 100 na nimejaribu na kujiridhisha kuwa inafanya kazi kwa uhakika. LINK MAALUM 1. Download App ya Dent Hapa - https://url.tanzaniatech.one/4Ci 2. Download App ya Tanzania Tech Hapa - https://url.tanzaniatech.one/3bM MAUJANJA ZAIDI 1. Jinsi ya Kutengeneza Pesa kwa Kutumia Simu ya Android - /watch/cvOgD-EeXWieg 2. Jinsi ya Kutengeneza $5 Kila Siku kwa Kutumia Simu - /watch/cbwovKsqQw7qo 3. Jinsi ya Kutengeneza Pesa Mtandaoni Kupitia WhatsApp - /watch/AijTyT4MDJ2MT 4. Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia WhatsApp (Part 2) - /watch/Qtf16QYAWMmA1 KWA MAUJANJA ZAIDI HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE NA USISAHAU KUTEMBELEA TOVUTI YA TANZANIA TECH ( https://tanzaniatech.one ) ILI KUSOMA HABARI MPYA ZA TEKNOLOJIA KILA SIKU.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 46