المدة الزمنية 2:11

Mafuatilio ya Wezi Kanisani

بواسطة KTN News Kenya
220 081 مشاهدة
0
274
تم نشره في 2012/07/14

Majambazi kumi na watatu waliovamia kanisa la lighthouse eneo la viwandani hapa jijini Nairobi bado hawajatiwa nguvuni na maafisa wa polisi wamewataka kujisalimisha la sivyo watakiona cha mtema kuni .Na kwa siku ya pili mfululizo wasimamizi wa kanisa hilo wamekataa kuzungumza nasi.ni tukio linalowashangaza wengi na jinsi majambazi hao kumi na watano walivyovamia kanisa hilo na kupora waliokuwepo ndani na hata kuiba sadaka

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 8