المدة الزمنية 4:26

DULLA MAKABILA anunuliwa gari jipya na mke wake, aweka video hii na kuandika haya

بواسطة Simulizi Na Sauti
6 463 مشاهدة
0
107
تم نشره في 2021/12/21

#DulaMakabila

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 28
  • @
    @samboy3710منذ 3 سنوات Ni wengi wanatamani wazawadiwe na wake zao . Pongezi king Dulla Makabilla..endelea kutamba
  • @
    @maloomaalmnsj5111منذ 3 سنوات Mh jamani kunawatu wana roho mzuri mie buku sikupi nanikukupa urudishe
  • @
    @maspro6294منذ 3 سنوات Hilo sio gari jipya nyinyi watangazi ongeeni facts semeni used car na model ya zamani jilekebisheni watangazi
  • @
    @happynelson1136منذ 3 سنوات Alioa lini yaani mwanamke anamnunulia jamaa gari huo ni uongo kama ningekuwa na mwanaume bongo hata pesa nisingemtumia
  • @
    @vanessalaizer4363منذ 3 سنوات Unaanzaje kumnunulia gari mbaba? Ndio mwanzo wa kujitaftia kilio
  • @
    @D-Man.B-Freeمنذ 3 سنوات Jipya zina facts zipi?Rudi shuleni mkasome facts hizo
  • @
    @saidfhamadمنذ 3 سنوات Samahani kaka ila nahisi hili gari sio jipya ni used from Japan!! 2