Bahati Bukuku ambaye ametokewa kupendwa na Bishop Dr. Getrude Rwakatare kwa kujitunza katika wokovu kwa muda mrefu, siku ya Jumapili 22.05.2016 aliweza kuhudumu katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni katika ibada ya UKOMBOZI. Usisahau kutembelea www.mountainoffiretanzania.blogspot.com